Un Global Communications Digital Solutions Unit public
[search 0]
More

Download the App!

show episodes
 
The United Nations is a complicated place so this podcast from hosts Sinduja Srinivasan and Jason DeWall for UN News - one insider, one outsider - aims to change all that. They demystify the UN through compelling interviews and stories making the world body more accessible and straightforward.
 
Loading …
show series
 
Fikra za baadhi ya watu kuwa maelfu kwa maelfu ya watu barani Afrika watapukutika kutokana na janga la ugonjwa wa Corona, au COVID-19 zimekuwa ndivyo sivyo baada ya bara hilo kuchukua hatua kitaifa na kikanda na hatimaye hadi sasa kudhihirisha umuhimu wa mshikamano katika kukabili adui.By Flora Nducha/Assumpta Massoi
 
With high level meetings on-going to address the climate and biodiversity crisis centre stage at UN Headquarters, one of the Secretary-General’s Youth Advisory Group members is urging world leaders to make sure their decisions get back to the people that help shape policy on the ground. Ernest Gibson is co-coordinator for 350 Fiji, a regional youth…
 
Katika ukanda wa Sahel, ufugaji ndio chanzo kikuu cha kipato kwa zaidi ya wakazi milioni 20 wa eneo hilo ambao hata hivyo leo hii asilimia 40 ya watu hao wako kwenye lindi la umaskini na waliosalia wako hatarini kutumbukia kwenye umaskini. Ahimidiwe Olotu anaeleza zaidi. Ni katika kuepusha hali hiyo Benki ya Dunia imeanzisha mradi uliowawezesha wak…
 
Vijana wa Somalia wametakiwa kuwa waleta mabadiliko na kushiriki kikamilifu katika siasa, upatanishi, kuleta amani, uchaguzi na juhudi zinazoendelea za kusaidia kuendeleza nchi yao. Anold Kayanda na maelezo zaidi. Huu ulikuwa ujumbe mkuu katika mjadala uliowaleta pamoja zaidi ya vijana 30 wanaowakilisha sehemu tofautitofauti za za jamii ya Somali k…
 
Teknolojia ya dijitali imeleta mabadiliko makubwa na ya haraka duniani; uchumi, mawasiliano, elimu na nyingine nyingi. Teknolojia ni moja ya ajenda zinazozungumziwa kwenye mkutano mkuu wa 75 wa Baraza la Umoja wa Mataifa. Asilimia kubwa ya watumiaji wa teknolojia ya dijitali ni vijana ambao wana muda wa kutosha kuitumia katika mambo tofauti. Mwandi…
 
Maadhimisho ya miaka 75 wa Umoja wa Mataifa yanafanyika wakati dunia inakabiliwa na janga baya zaidi kuwahi kushuhudiwa kwa miaka mingi, virusi vya corona. Vifo pamoja na hasara nyingine kama kupoteza kazi na biashara, vimerudisha nyuma maendeleo yaliyofikiwa kwa miongo mingi. Lakini watu wameweza kujifunza nini hasa kutokana na janga hili la virus…
 
Shirika la Umoja wa Mataifa la mpango wa chakula duniani, WFP, lina wasiwasi mkubwa kuhusu ghasia zinazoendelea na kudorora kwa usalama kwenye jimbo la Cabo Delgado kaskazini mwa Msumbiji. Ahimidiwe Olotu na maelezo zaidi. Katika eneo hilo hivi sasa, zaidi ya watu 300,000 wamekimbia makazi na vijiji vyao wakiacha mazao yao na tegemeo lao hivi sasa …
 
Wakati hii leo, wakuu wa nchi na wawakilishi wa nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa wanashiriki mkutano wa ngazi ya juu wa UNGA75 wa kujadili jinsi ya kuepusha upotoshaji wa taarifa na usambazaji wa taarifa potofu wakati huu wa janga la ugonjwa wa Corona au COVID-19, Tanzania imetaja siri ya mafanikio yake katika kudhibiti gonjwa hilo mara baada ya …
 
Mjadala wa Mkuu wa ngazi ya juu wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa UNGA75 leo umefungua pazia rasmi kwenye makao Makuu ya Umoja wa Mataifa jijini New York Marekani na mtandaoni ukiwaleta pamoja nchi zote wanachama wa Umoja huo 193. Flora Nducha na maelezo zaidi. Akifungua mjadala huo Rais wa Baraza Kuu Volkan Bozkir amesema…
 
Mpango wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini, UNMISS, wanashirikiana na washirika wake wa amani, watu wa Sudan Kusini, kuleta sauti zinazotetea amani ya kudumu katika nchi mpya zaidi ulimwenguni lakini inayoendelea kuteseka na migogoro, vifo na kutawanywa, miaka kadhaa tangu vita ya wenyewe kwa wenyewe. John Kibego na maelezo zaidi.…
 
Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF, limepeleka misaada katika eneo la Jebel Marra, Darfur, Sudan ili kuokoa maisha ya watu waliokimbilia katika maeneo hayo ya milima kuyakimbia mapigano katika maeneo yao. Ahimidiwe Olotu na maelezo zaidi. Ngamia waliobeba misaada mbalimbali kutoka shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto …
 
Nchini Tanzania miaka 75 ya Umoja wa Mataifa imekuwa na manufaa kwa taifa hilo la Afrika Mashariki kupitia miradi mbalimbali ambayo chombo hicho kimekuwa kikitekeleza kwa ushirikiano na taasisi mbalimbali za nchi hiyo. Miongoni mwa taasisi nufaika ni Bodi ya Utalii Tanzania, TTB ambayo Mkurugenzi Mwendeshaji wake Devotha Mdachi amesema wamenufaika …
 
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema Umoja wa Mataifa una mengi ya kujivunia baada ya kupiga hatua kubwa tangu kuanzishwa kwake miaka 75 iliyopita, lakini bado safari ni ndefu inayohitaji mshikamano wa kimataifa na utashi wa hali ya juu wa kisiasa kukabili changamoto zinazokikikumba kizazi hiki na vijavyo.Jason Nyakundi na maele…
 
In the midst of COVID-19, we have an historic opportunity to look at the world as it is, based on the facts, and then focus on collective solutions, according to a special project undertaken by the United Nations this year to mark its 75th anniversary. Tune in to this special edition of our Lid is On podcast -Nations United: Urgent Solutions for Ur…
 
Mawasiliano na elimu kwa vijana na viongozi wa vijiji na mitaa ni jambo muhimu linalopaswa kupewa kipaumbele ili kusaidia vijana kuachana na mawazo potofu na kujiingiza katika magenge ya uhalifu, amesema kiongozi mkuu wa machifu kwenye mji wa Oicha jimboni Kivu Kaskazini nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC alipokutana na walinda amani wa U…
 
Ikiwa leo ni siku ya usalama wa wagonjwa duniani, shirika la afya la Umoja wa Mataifa, WHO limesema hakuna taifa linaweza kuwaweka salama wagonjwa wake iwapo linapuuza usalama wa wahudumu wa afya hasa wakati huu wa janga la ugonjwa wa virusi vya Corona au COVID-19 ambalo bado linatikisa maeneo mengi duniani. John Kibego na taarifa kamili.…
 
Idadi ya watoto wanaoishi katika umaskini wa namna mbalimbali imeongezeka hadi takriban bilioni 1.2 kutokana na janga la COVID-19. Hiyo ni kwa mujibu wa ripoti mpya ya shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF na shirika la Save the Children uliochapishwa hii leo mjini New York Marekani na London Uingereza.…
 
Tangu lizuke janga la corona duniani athari nyingi za karibu kila sekta zimeshuhudiwa. Vijana ambao idadi yao ndiyo kubwa kwa karibu kila nchini duniani nao wameathirika pakubwa. Wengi walilazimika kusitisha masomo kufuatia kufungwa shule na taasisi za elimu, wengine wakapoteza ajira na kubaki katika hali ya sintofahamu kuhusu hatma ya maisha yao. …
 
Livhuwani Hellen Dzibana, mshauri nasaha kutoka nchini Afrika Kusini, kutwa kucha hivi sasa anaomba janga la ugonjwa wa Corona au COVID-19 limalizike kwa kuwa limekuwa mwiba katika utekelezaji wa majukumu yake kwa ufasaha ya kusaidia manusura wa ukatili wa kingono, jambo ambalo analisimamia kidete baada ya kulitambua kwa kina. Kulikoni?…
 
Akizindua ripoti hiyo kwenye Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa kwa njia ya mtandao Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema “hakuna nchi ambayo imenusurika, hakuna kundi la watu ambalo halijaguswa na gonjwa hilo na hakuna mtu aliye na kinga dhidi ya athari za janga hilo.” Jason Nyakundi na taarifa kwa kina.…
 
Loading …

Quick Reference Guide

Copyright 2020 | Sitemap | Privacy Policy | Terms of Service
Google login Twitter login Classic login